Harakati za Lucy – Tujifunze
Katika sehemu hii, tunaona vijana wa rika balehe wanavyo angaika kutafuta taarifa muhimu katika kipindi cha mabadiliko ya miili yao.
In this episode, we see how adolescents are struggling to find the right information during their challenging phase of puberty.