Taiplus
SITE LOADING

Our Works

Mila na desturi kandamizi – Filamu ya TGNP

150 views

Katika mradi huu, watafiti wanajamii waliwezeshwa kufikia jamii katika mikoa mitano na wilaya 10 za Tanzania bara ambazo ni Chamwino (Kata ya Handali) na Mpwapwa (Kata ya Kingiti) Dodoma, Kasulu (Kata ya Titye) na Kigoma DC (Kata ya Kagunga) Kigoma, Babati (Kata ya Magugu) na Simanjiro (Kata ya Langai) Manyara, Serengeti (Kata ya Nyambureti) na Tarime (Kata ya Komaswa) Mara, na Kilindi (Kata ya Songe) na Pangani (Kata ya Mikunguni) Tanga. Katika makala hii utasikia baadhi ya msuala ambayo yaliibuliwa na njia za utatuzi ambazo zimependekezwa na wanajamii na viongozi wao katika mikutano mbalimbali ikiwepo midahalo ya wazi iliyofanyika katuika maeneo hayo. Wananchi husika walipata fursa ya kuanzisha Vituo vya taarifa na maarifa ambapo vitaendelea kufuatilia utekelezaji wa mpango kazi ambao walijiwekea. Karibu uwe nasi katika mtiririko wa zoezi hili.

Leave a Reply

Your email address will not be published.